𝐑𝐀𝐈𝐒. 𝐃𝐊𝐓. 𝐍𝐄𝐓𝐔𝐌𝐁𝐎 𝐍𝐃𝐀𝐈𝐓𝐖𝐀𝐇 𝐀𝐇𝐈𝐓𝐈𝐌𝐈𝐒𝐇𝐀 𝐙𝐈𝐀𝐑𝐀 𝐘𝐀𝐊𝐄 𝐘𝐀 𝐊𝐈𝐓𝐀𝐈𝐅𝐀, 𝐍𝐂𝐇𝐈𝐍𝐈 𝐓𝐀𝐍𝐙𝐀𝐍𝐈𝐀. - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Monday, June 22, 2026

𝐑𝐀𝐈𝐒. 𝐃𝐊𝐓. 𝐍𝐄𝐓𝐔𝐌𝐁𝐎 𝐍𝐃𝐀𝐈𝐓𝐖𝐀𝐇 𝐀𝐇𝐈𝐓𝐈𝐌𝐈𝐒𝐇𝐀 𝐙𝐈𝐀𝐑𝐀 𝐘𝐀𝐊𝐄 𝐘𝐀 𝐊𝐈𝐓𝐀𝐈𝐅𝐀, 𝐍𝐂𝐇𝐈𝐍𝐈 𝐓𝐀𝐍𝐙𝐀𝐍𝐈𝐀.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Namibia Mhe. Dkt, Netumbo Nandi-Ndaitwah baada ya kuwasili katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 22 Juni, 2026. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Namibia Mhe. Dkt. Netumbo Nandi-Ndaitwah wakati wakipokea heshima ya Wimbo wa Taifa katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam kabla ya Rais huyo wa Namibia kuhitimisha Ziara yake ya Kitaifa ya siku 4 nchini Tanzania, tarehe 22 Juni, 2026. 

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad