Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan na Mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Namibia Rais wa Jamhuri ya Namibia Mhe. Netumbo Nandi-Ndaitwah washiriki Jukwaa la Biashara na Uwekezaji kati ya Tanzania na Namibia katika Hoteli ya Johari Rotana Jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Namibia
Mhe. Netumbo Nandi-Ndaitwah kwenye
Jukwaa la Biashara na Uwekezaji kati ya Tanzania na Namibia lililofanyika
katika Hoteli ya Johari Rotana Jijini Dar es Salaam, tarehe 20 Juni, 2026.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza kwenye Jukwaa la Biashara na
Uwekezaji kati ya Tanzania na Namibia lililofanyika katika Hoteli ya Johari
Rotana Jijini Dar es Salaam, tarehe 20 Juni, 2026.













No comments:
Post a Comment