Kujituma na kufanya kazi kwa uaminifu ni nguzo inayokupa heshima kwenye jamii, lakini pale maadui na watu wenye husuda wanapokutengenezea kesi ya uongo ya jinai ili kukufunga gerezani, maisha yote hugeuka kuwa jinamizi.
Kwa zaidi ya miaka miwili, nilipitia mateso mazito ya kisheria na kisaikolojia baada ya aliyekuwa bosi wangu wa zamani na washirika wake kunisingizia kesi kubwa ya wizi wa mamilioni ya fedha mahakamani.










No comments:
Post a Comment