Kuingia kwenye ndoa na kuanzisha familia ni ndoto ya kila mwanamke, lakini pale miaka inapopita bila sauti ya mtoto nyumbani, amani na furaha vyote huanza kutoweka. Kwa zaidi ya miaka miwili tangu niolewe, nilikabiliwa na simanzi nzito ya kukosa mtoto.
Kila mwezi ulipopita bila dalili za ujauzito, moyo wangu ulivunjika vipande vipande. Hali hii ilileta msongo mkubwa wa mawazo kwenye ndoa yangu, huku ndugu na majirani wakianza kunisanga, kuninyoshea vidole, na kunipachika majina ya dharau mtaani.










No comments:
Post a Comment