Kujenga ndoa na familia kwa miaka mingi kisha kushuhudia nyumba yako ikijaa ugomvi, matusi, na baridi la mahusiano ni jambo linaloumiza moyo na kunyonga nafsi. Kwa muda mrefu, mimi na mwenzangu wa maisha tulikuwa tukiishi kama maadui waliokutana nyumba moja.
Kila siku ilikuwa ni sababu za kelele na mizozo hata kwa mambo madogo yasiyo na msingi. Mapenzi, heshima, na mazungumzo ya amani vilitoweka kabisa, na badala yake paka mweusi wa ugomvi akatawala nyumba yetu.










No comments:
Post a Comment