Jina langu ni Juma.
Kuishi na mpenzi au mwenzi wa maisha huku ukihisi anakusaliti bila kuwa na ushahidi wa wazi ni mateso makubwa yanayoweza kukunyang’anya amani na kukujaza msongo wa mawazo.
Kwa miezi kadhaa, mpenzi wangu alibadilika sana tabia; alikuwa akificha simu yake, kupokea simu za usiku wa manane akiwa ananong’ona, na kurudi nyumbani kuchelewa kwa visingizio visivyoeleweka.
Kila nilipojaribu kumuuliza kwa ukweli na amani, alikuwa akinitukana, kunishutumu kwa kuwa na wivu wa kijinga, na kudai kuwa namvunjia heshima.










No comments:
Post a Comment