Jina langu ni Rehema.
Kuingia kwenye ndoa na kuishi miaka nenda rudi bila kupata mtoto ni jaribu zito linaloweza kumvua mwanamke amani, heshima, na furaha ya moyo wake.
Kwa zaidi ya miaka sita tangu niolewe, tulikuwa tukihangaika usiku na mchana mimi na mume wangu kutafuta mtoto wa kulea na kumpa upendo wetu, lakini tumbo langu lilibaki tupu.
Maneno ya chini chini kutoka kwa ndugu, kejeli za majirani, na mabadiliko ya taratibu kutoka kwa mume wangu yalianza kuninyonga nafsi.










No comments:
Post a Comment