Jina langu ni Joseph. Kufanya kazi kwa bidii na kujituma kwa kila namna lakini ukijikuta unagonga mwamba katika kila jambo unalofanya ni mateso yanayoweza kumpotezea mtu matumaini ya maisha.
Kwa zaidi ya miaka mitano, maisha yangu yalitawaliwa na mikosi na nuksi zisizoeleweka. Kila fursa nzuri ya kazi, biashara, au ushirikiano ilipojitokeza na kuonekana inaenda kufanikiwa, ilivunjika ghafla dakika za mwisho bila sababu yoyote ya msingi.
Pesa zote nilizozipata ziliyeyuka mikononi mwangu kama maji, watu waliokuwa wakiahidi kunisaidia walianza kunikimbia na kunichukia bila kosa, na kila hatua niliyopiga mbele ilifuatiwa na hatua tatu za kurudi nyuma.










No comments:
Post a Comment