𝐔𝐆𝐎𝐍𝐉𝐖𝐀 𝐖𝐀 𝐊𝐈𝐇𝐀𝐑𝐔𝐒𝐈 𝐍𝐀 𝐆𝐀𝐍𝐙𝐈 𝐌𝐖𝐈𝐋𝐈𝐍𝐈 𝐔𝐋𝐈𝐏𝐀𝐊𝐀 𝐊𝐔𝐍𝐈𝐏𝐎𝐎𝐙𝐀 𝐊𝐀𝐁𝐈𝐒𝐀, 𝐌𝐏𝐀𝐊𝐀 𝐌𝐈𝐓𝐈𝐒𝐇𝐀𝐌𝐁𝐀 𝐇𝐈𝐈 𝐘𝐀 𝐊𝐈𝐀𝐒𝐈𝐋𝐈 𝐈𝐋𝐈𝐏𝐎𝐍𝐈𝐑𝐔𝐃𝐈𝐒𝐇𝐈𝐀 𝐒𝐀𝐔𝐓𝐈 𝐍𝐀 𝐊𝐔𝐓𝐄𝐌𝐁𝐄𝐀 - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Thursday, September 24, 2026

𝐔𝐆𝐎𝐍𝐉𝐖𝐀 𝐖𝐀 𝐊𝐈𝐇𝐀𝐑𝐔𝐒𝐈 𝐍𝐀 𝐆𝐀𝐍𝐙𝐈 𝐌𝐖𝐈𝐋𝐈𝐍𝐈 𝐔𝐋𝐈𝐏𝐀𝐊𝐀 𝐊𝐔𝐍𝐈𝐏𝐎𝐎𝐙𝐀 𝐊𝐀𝐁𝐈𝐒𝐀, 𝐌𝐏𝐀𝐊𝐀 𝐌𝐈𝐓𝐈𝐒𝐇𝐀𝐌𝐁𝐀 𝐇𝐈𝐈 𝐘𝐀 𝐊𝐈𝐀𝐒𝐈𝐋𝐈 𝐈𝐋𝐈𝐏𝐎𝐍𝐈𝐑𝐔𝐃𝐈𝐒𝐇𝐈𝐀 𝐒𝐀𝐔𝐓𝐈 𝐍𝐀 𝐊𝐔𝐓𝐄𝐌𝐁𝐄𝐀

Jina langu ni Godfrey. Kupatwa na ugonjwa wa ghafla unaokunyang’anya uwezo wa kutembea na kuongea ndani ya siku moja ni jaribu zito linaloweza kumfanya mtu ajione ameshakuwa mzigo kwa familia na jamii.

Siku moja nikiwa kwenye shughuli zangu za kila siku, nilijisikia ganzi kali kuanzia kichwani mpaka upande mmoja wa mwili wangu. Ndani ya masaa machache tu, mkono na mguu wangu wa kulia vilipooza kabisa, mdomo ukapinda, na sauti yangu ikakatika usiku huo huo.

Familia yangu ilikimbizana nami hospitali mbalimbali na nikaanzishiwa mazoezi pamoja na dawa za kupunguza presha, lakini kwa miezi sita mfululizo sikuwa na mabadiliko yoyote; nilibaki kitandani nikipishwa chakula na kuhudumiwa kila kitu kama mtoto mchanga.

ENDELEA   KUSOMA

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad