KILA MWANAUME ALIYENIPOSA ALIKUWA ANANIKIMBIA DAKIKA ZA MWISHO KABLA YA NDOA, MPAKA VISOMO HIVI VILIPONIPA KIBALI NA KUPATA MUME SAHIHI - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Wednesday, September 30, 2026

KILA MWANAUME ALIYENIPOSA ALIKUWA ANANIKIMBIA DAKIKA ZA MWISHO KABLA YA NDOA, MPAKA VISOMO HIVI VILIPONIPA KIBALI NA KUPATA MUME SAHIHI

Jina langu ni Beatrice. Kutamani kuwa na mume, kuanzisha familia, na kupata amani ya ndoa lakini kila uchumba unapoingia hatua za mwisho unavunjika ghafla ni mateso na majonzi mazito yanayoweza kukunyang’anya furaha na kujiamini.

Kwa zaidi ya miaka mitano, nilikuwa nikipitia mikosi ya ajabu kwenye mahusiano. Wanaume mbalimbali walikuja kunitongoza, tukaanza mahusiano vizuri na hata kufikia hatua ya kutambulishwa kwa wazazi na kupanga tarehe za harusi.

Hata hivyo, mara tu maandalizi ya ndoa yanapofikia mwishoni, mwanaume alibadilika ghafla bila sababu ya msingi; wengine walianza kunichukia na kuniona mchafu, wengine walikata mawasiliano na kutoweka kabisa, na wengine waliacha uchumba siku chache kabla ya ndoa!

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad