Jina langu ni Josephat. Kuona nyumba yako uliyoijenga kwa jasho na damu ikisambaratika, na mke wako wa ndoa akipakia mikoba yake kuondoka na watoto ni maumivu makali yanayoweza kumvunja mwanamume yeyote moyo.
Kwa zaidi ya mwaka mmoja, nyumba yetu iligeuka kuwa uwanja wa vita. Kila siku kulikuwa na migogoro, kelele, na majadiliano ya hovyo yasiyo na msingi.
Mke wangu alibadilika ghafla; alianza kunidharau, kukataa kunipikia, na kila nilipojaribu kukaa naye ili tuyajenge kwa amani, alipandwa na hasira kali na kutishia kunipa talaka.










No comments:
Post a Comment