Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania IGP Camillus Wambura, amemhamisha Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Matride Kuyeto kutoka Kamanda wa Polisi Kikosi cha Reli kwenda kuwa Kamanda wa Polisi (RPC) Mkoa wa Singida.
Kamanda Matride Kuyeto anakuchukuwa nafasi ya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Amon Kakwale ambaye amestaafu utumishi wa Umma kwa mujibu wa sheria.












No comments:
Post a Comment