Jina langu ni Amos. Hakuna uchungu na maumivu makubwa kama kujinyima, kupambana kwa jasho na damu kujenga biashara yako, halafu unapofika asubuhi unakuta majambazi wamevunja kufuli, wamebeba kila kitu na kuacha duka lako likiwa patupu.
Miezi mitatu iliyopita, nilipata pigo hili zito. Nilipofika dukani kwangu asubuhi, nilikuta mlango uko wazi na bidhaa zote za mamilioni pamoja with fedha za mauzo zikiwa zimeibiwa usiku wa manane.
Nilibaki nikitetemeka kwa uchungu, nikilia kwa unyonge huku nikitazama maisha yangu yakirudi sifuri kwa usiku mmoja tu. Niliporipoti polisi, mchakato wa upelelezi ulionekana kuchukua muda mrefu huku nikijua fika kuwa wezi hao walikuwa wakifaidi jasho langu.
Nikiwa kwenye simanzi nzito na nikitafakari jinsi ya kulipa madeni ya wauzaji wa bidhaa, mfanyabiashara mwenzangu wa karibu alinivuta pembeni.










No comments:
Post a Comment