Jina langu ni Mercy. Hakuna dharau na maumivu makubwa kwenye ndoa kama kumstahi mume wako, kumfanyia kila wema, halafu yeye anatumia fedha na muda wake kuchepuka na wanawake wa nje huku akikudharau na kukuambia huna la kumfanya.
Kwa zaidi ya miaka miwili, mume wangu alikuwa amebadilika kabisa. Alikuwa akirudi nyumbani usiku wa manane akiwa amenuna, hapokei simu zangu, na kila nikijaribu kumuuliza kuhusu mchepuko wake aliyekuwa akijisifu mtaani, alikuwa akinifokea na kunitishia kunifukuza kwenye nyumba niliyosaidia kujenga.
Nilibaki nikilia kwa unyonge, nikikosa amani ya moyo na kuona ndoa yangu ikielekea kubomoka kabisa. Nikiwa kwenye masikitiko makubwa na nikitafuta njia ya kukomesha dharau hizo mara moja, shoga yangu wa karibu alinitembelea.










No comments:
Post a Comment