Jina langu ni Kelvin. Kupitia vipindi ambavyo kila unapogusa kitu kinafeli, au kila unapoanza kazi mpya unafukuzwa bila sababu za msingi ni mateso makubwa yanayoweza kukufanya ujihisi huna thamani yoyote hapa duniani.
Kwa zaidi ya miaka mitano, nilikuwa nikitaabika na mfululizo wa mikosi na gosi la nuksi mwilini mwangu. Katika kipindi hicho, nilikuwa nimefukuzwa kazi kwenye makampuni matatu tofauti.
Hata nilipojitahidi kuwa mwangalifu na kufanya kazi kwa bidii, matatizo madogo mno au makosa ya watu wengine yalikuwa yakilekezwa kwangu na kupelekea mimi kufukuzwa.










No comments:
Post a Comment