Jina langu ni Mercy. Hakuna mateso makubwa na ya kuogofya kama kulala usiku huku ukijua unakwenda kukutana na jinamizi linalokosa huruma.
Kwa zaidi ya mwaka mmoja na nusu, maisha yangu yalitawaliwa na hofu kubwa baada ya kuanza kuota ndoto za ajabu kila usiku.
Nilikuwa nikilala na kuota ninashambuliwa, ninakimbizwa na wanyama wakali, au kuingiliwa kimwili na mwanaume nisiyemjua sura yake.
Kila nilipoamka asubuhi, nilikuwa nikijikuta nimechoka sana mwilini, nikiwa na maumivu makali ya kiuno, na hisia nzito za unyonge.
Hali hii ilianza kuathiri vibaya sana mahusiano yangu kila mwanaume aliyetaka kunioa alikuwa akinikimbia ghafla bila sababu, huku afya yangu ikidhoofika na sura yangu kupoteza muonekano wa furaha.
Nikiwa kwenye masikitiko makubwa na nikijiona kama mtu aliyetengwa na ulimwengu, bibi yangu aliyekuja kunitembelea na kuona jinsi nilivyokuwa nikishtuka na kulia usiku alinivuta pembeni.










No comments:
Post a Comment