Jina langu ni Macharia. Kuwa na nia njema ya kulitumikia taifa au jamii yako, kuwa na sera nzuri na uwezo wa kuongoza, halafu kila unapojitokeza kuwania nafasi ya uongozi au kisiasa unakataliwa na kudharauliwa ni jambo linaloweza kukuvunja moyo kabisa.
Kwa miaka kadhaa, nilikuwa nikijitosa kwenye kinyang’anyiro cha uongozi katika ngazi ya jamii na vyama vya ushirika. Licha ya kufanya mikutano mingi, kujitolea kwa hali na mali, na kukubalika na watu wachache wa karibu, siku ya kura au uteuzi ikifika, matokeo yalikuwa yakijirudia kwa kunipa pigo zito.
Nilibaki nikitazama watu wasio na sifa wala maono wakipita na kushinda kwa urahisi, huku mimi nikionekana kama mtu asiye na thamani wala mvuto mbele ya wapiga kura.










No comments:
Post a Comment