Jina langu ni Esther. Hakuna jambo linalotisha na kunyima amani ya nafsi kama kuona familia yako ikikabiliwa na mfululizo wa ajali za ajabu na zisizoeleweka kila kukicha.
Kwa zaidi ya mwaka mmoja, familia yetu ilikuwa ikiishi kwa hofu kubwa baada ya kukumbwa na jinamizi la ajali za mfululizo.
Kila baada ya miezi miwili au mitatu, mmoja wetu alikuwa akipata ajali mbaya iwe ni ya gari, pikipiki, au hata kuanguka vibaya nyumbani na kuvunjika viungo.
Tulitumia fedha nyingi sana hospitalini kulipia matibabu na kukarabati vyombo vilivyoharibika, huku tukibaki tukijiuliza ni kwanini mkosi huo ulikuwa ukiandama damu yetu pekee.










No comments:
Post a Comment