Kuamka asubuhi na kuomba Mungu safari yako iwe salama, halafu ukajikuta kila wiki unakumbana na matukio ya kutisha ya gari au pikipiki karibu kupinduka, kukwepa kwa tundu la sindano, au kuumia miili mara kwa mara bila sababu za msingi.
Huku ukiwa na hofu kuwa safari yako ya mwisho duniani inakaribia, ni mateso makubwa yanayokunyima usingizi na amani ya moyo.
Kwa takriban miezi sita, maisha yangu yalikuwa chini ya kivuli kikuu cha mauti.











No comments:
Post a Comment