Kujikuta umepachikwa kosa ambalo hujawahi kulifikiria wala kulifanya, kusukumwa kwenye vyumba vya mahabusu, na kushtakiwa mahakamani huku ukishuhudia ushahidi wa uongo ukisukwa dhidi yako na watu waliotaka kukuangamiza na kukufunga miaka mingi jela, ni donda ndugu linalochoma moyo na kukata maini ya mtu asiye na hatia.
Kwa miezi kadhaa, maisha yangu yaligeuka kuwa jehanamu ya kusubiri hukumu ya maisha ukiwa nyuma ya nondo kwa jambo ambalo hukulijua.











No comments:
Post a Comment