RAIS DKT. SAMIA ASHIRIKI MKUTANO WA TANO WA AFYA (CPHIA 2026), ADDIS ABABA NCHINI ETHIOPIA - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Monday, November 23, 2026

RAIS DKT. SAMIA ASHIRIKI MKUTANO WA TANO WA AFYA (CPHIA 2026), ADDIS ABABA NCHINI ETHIOPIA

Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiwa kwenye picha na Mhe. Abiy Ahmed, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Shirikisho la Ethiopia baada ya mazungumzo, Addis Ababa, Ethiopia, tarehe 23 Novemba, 2026.
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiwa kwenye mazungumzo na Mhe. Abiy Ahmed, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Shirikisho la Ethiopia, pembezoni mwa Mkutano wa Tano wa Kimataifa wa Afya ya Umma Barani Afrika (CPHIA 2026), Addis Ababa, Ethiopia, tarehe 23 Novemba, 2026.
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akizungumza kwenye Mkutano wa Tano wa Kimataifa wa Afya ya Umma Barani Afrika (CPHIA 2026) Jijini Addis Ababa nchini Ethiopia. Mkutano huo mkubwa wa kimataifa unawakutanisha viongozi wa Serikali, mawaziri wa afya, wataalamu wa afya, wanasayansi, watafiti na washiriki wa maendeleo kutoka Afrika na duniani.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad