Kumuona mwanao uliyeteseka kumsomesha kwa shida zote hadi anafika mwaka wa mwisho wa chuo kikuu, ukiwa unamsubiria kwa hamu kubwa siku ya mahafali ili avae joho, ghafla anaanza kuongea peke yake, kuchana nguo zake, na kutangatanga mitaani bila kujua jina lake wala la wazazi wake.
Kwa miezi kadhaa kabla ya kumaliza masomo, kijana wangu aliyekuwa na akili nyingi na mcha Mungu aligeuka na kuwa mtu mwingine kabisa. Hospitali zote za akili tulizomkimbiza zilisema vipimo viko sawa na hawakuelewa chanzo cha kichaa hicho cha ghafla, huku wimbi la maumivu likizidi kututafuna.











































No comments:
Post a Comment