VICHWA VYA HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO NOVEMBA 12, 2026 - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Thursday, November 12, 2026

VICHWA VYA HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO NOVEMBA 12, 2026

MUME WANGU ALIKUWA ANAKESHA KWA WANAWAKE WA NJE NA KUSAHAU FAMILIA YAKE, LAKINI SIRI HII ILITULIA NAYE NDANI NA KUMFANYA AWE WANGU PEKEE
Kupikia chakula kitamu na kusubiri mezani hadi usiku wa manane wakati mume wako kipenzi hapatikani kwenye simu, huku ukijua fika anakesha kwenye nyumba za wanawake wa nje na kusahau kabisa kuwa ana mke na watoto wanaomngojea nyumbani, ni donda ndugu linalochoma moyo na kukata maini ya mwanamke.

Kwa takriban miaka miwili, ndoa yetu ilikuwa inakaribia kusambaratika.

 Mume wangu alikuwa amebadilika kabisa; alikuwa harudi nyumbani usiku, fedha za matumizi zilikosekana, na alipojitokeza alikuwa mkali na mwenye dharau kupita kiasi, akionyesha wazi kuwa alikuwa amezama kwenye penzi la nje lililomfanya aifunge familia yake nje ya moyo wake.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad