Jina langu ni Christopher.
Kuugua ugonjwa unaokutesa mwili mzima kisha kila ukienda hospitali vipimo vinaonyesha uko salama ni jaribu linaloweza kumfanya mtu achanganyikiwe na kukata tamaa ya kuishi.
Kwa zaidi ya miaka mitatu, nilikuwa nikiteseka na maumivu makali ya miguu, kuwaka moto nyayo, na hisia za vitu vinavyotembea mwilini mwangu.
Nilitembelea hospitali kubwa mbalimbali na kukutana na madaktari bingwa, lakini kila vipimo vilipofanyika iwe vya damu au picha za kurefusha mionzi majibu yalikuja kuwa sina ugonjwa wowote.










No comments:
Post a Comment