Kufanya kazi kwa kujituma, uaminifu, na nidhamu ya hali ya juu halafu ukajikuta unazungukwa na chuki, wivu, na fitina za wafanyakazi wenzako wanaotaka kukuharibia ajira yako ni mtihani mzito unaoweza kukuondolewa amani na furaha ya maisha.
Kwa zaidi ya miaka mitano, nilikuwa msimamizi mkuu wa kitengo cha manunuzi katika kampuni moja kubwa ya kibiashara. Kutokana na uaminifu wangu na jinsi Mkurugenzi Mkuu alivyokuwa akiniamini, baadhi ya wafanyakazi wenzangu wa kitengo kile kile walianza kunipigia wivu mkubwa.
Walianza kusuka njama za siri za kunipaka matope kwa kutengeneza stakabadhi za uongo za fedha na kudai kuwa nilikuwa nikipokea rushwa kutoka kwa wasambazaji wa bidhaa ili niharibikiwe jina na kufukuzwa kazi.










No comments:
Post a Comment